Recent content by Kronik25

  1. Kronik25

    Gsan wa X-Plastaz: Msanii wa kwanza Tanzania kushiriki Tuzo za BET mwaka 2009

    Mkuu, umefanya jambo kubwa kuwaonyesha watu kwamba hip hop ya Bongo ilishatembea tangu kitambo. Bravo [emoji1490] Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  2. Kronik25

    Gsan wa X-Plastaz: Msanii wa kwanza Tanzania kushiriki Tuzo za BET mwaka 2009

    Kivipi mzee, huyu Gsan na Xplastaz ni manguli wa hip hop... FUATILIA Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  3. Kronik25

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zawadi ni mzuri tatizo anaringa
  4. Kronik25

    GE2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

    Hamna haja ya kuzoom mimi mwenyewe nilikua hapo✌️✌️
  5. Kronik25

    GE2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

    Daah hakika ni Karatu hapo... hometown raia wapo moto sana hatutaki kuelewa kuhusu kijani kutoka 95 mpaka leo ni nyekundu bluu nyeupe na nyeusi✌️✌️
Back
Top Bottom