Recent content by kritika

  1. kritika

    Nakupenda Kritika

    Hadi wewe umeoa??? kweli wanawake tuna huruma sanaa Wewe ulitakiwa uwe chaputa hadi mwisho wa maisha yako
  2. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Pole ndugu tafuta tibaa Wanaume wenzenu kutoka Nigeria huko ghana hata wakisikia harufu tu ya marashi ya kike tayari wanakua active poleni sana tafuteni tibaa bila kusahau pesaa
  3. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Lakwako linatosha tutashare
  4. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Na liwakute wakufee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Acheni kulia lia tafuteni tiba enyi viumbe msiojiamini
  6. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Katafute tiba
  7. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Vivulana bana
  8. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Acheni maneno mengi tafuteni tiba na pesa
  9. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Wamebarikiwa midomo siku hizi hawa tushachukua mamlaka yao
  10. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Huna nguvu za kiume sasa au unajileta tusagane?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Pesa hunipi hata kunyundua huwezi pumbavuuu
  12. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Umejileta mwenyewe unataka nichangie nini?
  13. kritika

    Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

    Hahahahahha nacheka lakini naogopa, Wanaume wa siku hizi ni majanga mashoga zangu unakuta kamwanaume kanajishaua kana jijitutumia kuja kukutongoza cha ajabu unakuta PESA HAKANA ukisema uvumilie hilo pia unakuta MAPENZI YA DHATI HAKANA ukisema potelea mbali wacha nizuge nacho unakuta NGUVU ZA...
Back
Top Bottom