Recent content by kptz

  1. K

    JamiiForums Tanzania ZIMBABWE: Social Media has been shutdown amid serious protests

    naunga mkono harakati lakini tuwe makini na "hate speech" after all wote ni waafrika hata kama ni zanu pf vs democratic. africa ni moja tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    mkuu kayogoli nadhani hujanielewa; shida yangu ni kupata joining instruction ya hiyo shule manake shule zote za singida hazipo kwenye list ya tamisemi ya joining instruction
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    jina ni "purite lawrence tarimo" kutoka nduweni s2847/0050, natanguliza shukrani mkuu kayogoli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    wadau nimeangalia tamisemi sijaipata hiyo shule, nadhani shule zote za mkoa wa singida hazijawekwa. kwa anayefahamu tafadhali nitumie kwenye e mail vitalismhinakipingu@gmail.com
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bibi amuuza mjukuu wake mwenye Ualbino

    ni vizuri kama ungetufahamisha huyo bibi ametumia mbinu gani kuuza na alipatania kiasi gani na hatua gani zimechukuliwa ili iwe fundisho kwa wengine :(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(
Back
Top Bottom