My worry kubwa ni muungano utatetereka sana. Unless wanganganie madarakani na kuichukua nchi milele na kuigeuza nchi hii iwe ya kiislam. Hiki kilichotokea kikiishia tu kilivyo why not taking the reign moja kwa moja na kurudusha Ufalme.
Kosa kubwa ni kutawaliwa na katiba mbovu tangu mwanzo wakati wa Nyerere. Tumejenga vizazi vya waoga hata Nyerere alisema kabla hajaondoka na kusema hakutarajia kutengeneza Taifa la watu waoga, na bado akaacha katiba mbovu ambayo kimsingi ipo hadi leo all power is vested on one human being the...
Makaa ya nawe sawa, Uranium Nina Shaka kubwa kwani hii ni radio active material can not be transported by open trucks. Anyway labda mmeyaona barabarani.
The trend shows, all previous PMs could not manage to score enough to win the candidature for the Presidency, which has been a trend. Why? PM carries all the unpopular things to be practiced in the community. Even the current has done and victimised a lot of people, especially those working in...
Hawasikilizwi wanaongea kila siku. Let us go this way, it will be a lesson for new generations not us. We have failed, the first President left us this dictatorship constitution and no one will change it once in power.
Well written report. Suppression methods used by Gov. Is very dangerous; abduction and killing the opposition is not good. That shows all promise of reform from Gov is just false,
Well written she going by play book but add new dynamics in the equation of power. Dividing the Country into religious power struggles and selling critical infrastructures on the same line.
Hoja inamashiko, ila kwa jinsi nchi inavyokwenda hakuna Anaetaka hili. Na wananchi wamezidi kuijua serijaki yao vizuri zaidi na mstaksbali wa nchi unajichora vema kabisa. Majuto ni mjukuu.
Tangu Regime iliyopita tumekuwa na propaganda nyingi sana za uongo na uzandiki sana. Kusifia kusiko na evidence zozote bali exaggerated figures. Serikali usiyoogopa tena wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.