Aisee nimepita jioni hii pale mbezi Luis, ile system ya maspika ile aisee ni kiboko. Kwa mandalizi haya, mimi sitakosa nataka nishuhudie kwa macho yangu
Aisee Jana kwenye pitapita yangu kwenye channels za tv nikabonyeza star tv, nimekuta askofu gwajima anahubiri aisee yaani mahubiri yake ni mazuri sana, hivi Kwani lini marudio ya kipindi chake??
Mpaka hapa tulipofikia sasa hatutakiwi kunyoosheana vidole sisi kwa sisi, kwa mambo ambayo yanaweza yakaisha pasipo hata mtu mmoja kuumizwa, kaeni chini malizeni tofauti, mafahali wawili wakipigana ziumiazo nyika, so wananchi ndio wanakuwa waathirika wa kwanza pale ambapo nchi isipotengamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.