Recent content by KORBOTO

  1. KORBOTO

    JamiiForums Tanzania Somo la unyenyekevu

    Hapo ni wapi?
  2. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😂😂😂😂😂😂
  3. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ex ni hatari sana 🤣🤣
  4. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huu mjadala wenu umenikumbusha ex wangu mmoja, tuliachana na hatukuonana kama miezi 5, paaap tulikuja kukutana kkoo hakuna aliyeweza kuvunga kumchangamkia mwenzake, hapo hapo tukaanza kusaidia shopping .... kuna mda tupo duka moja nikajikuta "daah naona tunapoteza tu muda bora tungeenda zetu...
  5. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa hizi zitatuua jamani!

    Hamia kwa mwanamke yeyote hapo mtaani, usirudi nyumbani mpaka aje aombe msamaha... Alaaah lazima atambue thamani yako
  6. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Aliona shangazi unatuomba omba sana hela, akaona anusuru uchumi wa familia 🤣
  7. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Shangazi umepokea malalamiko?
  8. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    "When the bed is still shaking the house is safe" Chinua Achebe. Shangazi, pamoja na uzee huo ulionisingizia nyumba yetu bado ipo salama
  9. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Nipoo, naonaga uvivu kucoment hata kulogin
  10. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Nilijua tu lazima uweke kambi kwenye huu uzi shangazi wa mchongo
  11. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Heaven Sent usiwe unaweka mlio kwenye sms usiku, utakatishwa sana usingizi kwa txts za MPESA
  12. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majunio Wanazingua

    Tulia wewe, wafundisheni watoto adabu.
  13. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majunio Wanazingua

    Mlambe kibao kimoja wakati hamna anayekuona, yaani kile cha hakika kabisa. Baada ya hapo kausha tu kama kataendelea na mazoea tena. hata kakitumwa kakuulize swali la kichokozi na mamake (mwulize anko unaondoka lini) akikuangalia tu mkagonganisha macho anakimbilia ndani huko bila kusema kitu...
  14. KORBOTO

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa yaliyoonekana sherehe za kukabidhi tuzo

    Kwahiyo kasoro zilikuwa hasa kwenye video show?
  15. KORBOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki ni watu hatari zaidi kuwaweka karibu na mkeo/ mumeo/ mpenzi

    Hahahaha [emoji38]
Back
Top Bottom