Recent content by kophia

  1. K

    Only for UKAWA original: Kwa wanaoamini mabadiliko kupitia Lowassa siyo sahihi

    Tatizo la watanzania wenzangu tunafuata upepo pasipo hata kuangalia jambo kwa kina sana. Napenda kusema kuwa tuipende nchi yetu kwa dhati na si vyama. Tunapaswa kujua kuwa vyama vinaweza kufa ila Tanzania itabaki na sisi tutabaki kuwa watanzania na si vinginevyo. Dalili ya chama kuongoza vibaya...
  2. K

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Ni dhahiri kuwa maamuzi ya mtu hutegemea na mtazamo alionao na hisia juu ya jambo analotaka kulifanyia maamuzi. Kimsingi Dr. Slaa ni mtu mwenye hisia za ndani na dhamiri inayoonyesha kuwa na mapenzi mema na watanzania tangu uongozi wake wa kuwa mbunge Karatu hadi sasa. Wengi mnakumbuka kuwa...
  3. K

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Lengo la Chadema ni kushinda bila kujali ushindi huo unaweza kuwa kikwazo na matusi mbele ya safari. Tukumbuke kuwa mpira ni dk 90 endapo ushindi usipo patikana ni dhahiri Chadema kama chama kikuu pinzani kitakosa hoja nzito ndani ya bunge na hivyo kuua upinzani wa kweli. Lazima tukumbuke kuwa...
  4. K

    Interview PPF

    Hii ya tarehe 10/7 ilikuwa kwa nafasi zote mkuu hebu tujuze?
  5. K

    Interview PPF

    kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. K

    PPF Waanza kuita watu

    Interview hii ya jana ilikuwa ya aina. nadhani jamaa walitaka kupunguza watu wengi maana style waliotumia mm
  7. K

    System analyst: Ocean Road Cancer Institute

    vyeti vyangu vyote vilikuwa certified na mwanasheria wa serikali.
  8. K

    System analyst: Ocean Road Cancer Institute

    ok. Nashukuru kwa taarifa.
  9. K

    System analyst: Ocean Road Cancer Institute

    Hii kazi ilitangazwa mwezi wa tano. Vp mwenye habari juu ya hii kazi je walishaita watu kwa ajili ya interview?
  10. K

    Umefikia wapi kijana mwenzangu katika suala la ajira tangu umalize shule au chuo?

    Yule aliyeajiriwa angependa awe huru na yule aliyejiajiri angependa kuajiriwa. Ndugu zangu Tanzania zipo fursa nyingi sana ingawa kuna siasa ktk kila sekta ya uchumi hapa Bongo. Mfano unahitaji kuwa upande fulani ili kufanya biashara zako kubwa vinginevyo unaweza kuona unaanguka wakati wowote...
  11. K

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Yamkini ni ujumbe utokao kwa Mungu.Ujumbe wa Mungu siku zote huwa ni Amina. Tumngoje Bwana Mungu.
Back
Top Bottom