Recent content by Koo Lauma

  1. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Zambia: China kuchukua Uwanja wa ndege wa Kaunda kufidia deni, ishachukua shirika la umeme

    Wakimaliza Zambia waje Tanzania
  2. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima

    Uende Tuu Umeidumaza BAVICHA
  3. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

    Mhe. Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA Taifa) akitoa maazimio ya Kamati Kuu iliyokutana tarehe 29-30/7/2017
  4. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila: Waliopewa mgao wa escrow wafikishwe mahakamani kusomewa hukumu zao

    Kuna siku na yeye ataupata, Mwenye kusubiri yuko pamoja na MwenyeziMungu
  5. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila: Waliopewa mgao wa escrow wafikishwe mahakamani kusomewa hukumu zao

    Ahukumiwe tuu, si ameshakiri
  6. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila: Waliopewa mgao wa escrow wafikishwe mahakamani kusomewa hukumu zao

    Wizi wakula pesa za watanzania
  7. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila: Waliopewa mgao wa escrow wafikishwe mahakamani kusomewa hukumu zao

    mashi mashitaka kama unafanywa uchunga lakini wao wenyewe wamekiri kupokea hivyo ni hukumu tu
  8. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila: Waliopewa mgao wa escrow wafikishwe mahakamani kusomewa hukumu zao

    Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo CHADEMA Makao Makuu Mhe. Bensoni Kigaila akiitaka Serikali kuwachukulia hatua wale wote waliopewa mgao wa ESCROW wafikishwe Mahakamani kusomewa hukumu zao.
  9. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aamuru kukamatwa kwa Mbunge Halima Mdee na kuwekwa Korokoroni 48hrs

    Ungepita tuu, hakuna mtu angekulazimisha uharibu bundle lako , Pita Kuuuule
  10. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aamuru kukamatwa kwa Mbunge Halima Mdee na kuwekwa Korokoroni 48hrs

    DC wa Halmashauri ya Kinondoni atumwa kutoa agizo Mhe Mdee akamatwe na Jeshi la Polisi, Awekwe ndani kwa Masaa 48, Ahojiwe na afikishwe katika vyombo vya Kisheria. Utawala wa Kimabavu at work.
  11. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Udhuriwe wewe nani ??? Kalale mbele, acha kutafuta kick ,
  12. Koo Lauma

    JamiiForums Tanzania MBUNGE WA CHADEMA ATEMBELEA KAMBI YA WAZEE WASIOJIWEZA (RASIBULA), MKOANI LINDI. cherk video

    Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Lindi Mhe Latipha Chande, Akiwajibika, Hapo tuu ndipo ninapowapenda wabunge wa CHADEMA, wanajua kutimiza majukumu yao kwa wananchi. Mungu akuzidishie moyo huo mbunge wangu.
Back
Top Bottom