Unaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane...
Ukitaka mchepuko aendelee kukupa vitu motomoto usimchumbie, usifunge nae ndoa, usitoe mahari wewe mhudumie, mpe kila anachostahili kulingana na uwezo wako mpe chochote atakacho ndani ya uwezo wako muheshimu akuzalie na watoto hapo hutojuta
Kuna jamaa alikuwa jeuri sana siku akapata ajali alishonwa bila ganzi walimwambia kabisa kuwa hakuna ganzi na atashonwa kavu kavu na hawakufanya ajizi njemba ilishusha haja zote zilizopo hapa duniani alipopona akaomba na uhamisho maana alikuwa anataniwa kwamba aliacha uharo debe 2
Usisahau ndugu zako ulikotoka nao wapo bize kukudungunyua kibakubaku tena kwa wivu mkubwa kwamba kwanini umetoboa (kwa mtazamo wao).
Kuna jamaa yangu alienda kuzuru makaburi ya wahenga akakutana na shangazi yake akaombwa buku ya soda akatoa kilichomkuta Mungu ni shahidi, bibie yule alienda...
Mleta mada umetumwa ili tuone bodaboda ni ajira ushindwe na ulegee, yaani unasifia kazi hiyo ili vijana a.k.a GenZee wasiwaze kuhusu ajira umeshashindwa nakwambia, tangu tz iumbwe na mungu hakuna kazi iliyozalisha marehemu na walemavu kama bodaboda.
Umekaririshwa upuuzi huko unataka kuwapakaza na wengine huo upuuzi!
Sasa kwa taarifa yako kila mtu aendelee kuamini matango pori yake bila kujali yameletwa na harabu harabu au wazungu au maponjoro au singasinga n.k.
Kwa kukuongezea tu hakuna jamii iliyo acha uchawi kwa poroja za wazungu au...
Mleta mada kule visiwani machoko wapo kuanzia chekechea hadi chuo kikuu vp umetumwa na wazee wa kijani watu wasipeleke watoto wao kusoma abroad ili kupunguza wasomi wanaojitambua au?
Hawa machoko akina anti abuu, anti juma, mudi etc nao walisoma chuo gani huko kanada?
Kwa pesa alizotishiwa nazo angekuwa kabila fulani (wafia pesa) sijui kama tungepona lakini wahaya kwa hulka yao ya kujithamini na kujiamini (ingawa si wote) kwakweli akina NSHOMILE ni kati ya watu wanaojiamini sana akiamua lake unaweza ishia kuduwaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.