Wanajamii, bila shaka sote twafahamu kwamba Waziri wa Zamani wa Mambo ya Ndani Bwana Masha aliwekwa kizuizini na kisha kufunguliwa mashataka kwa tuhuma kama zilivyoripotiwa na vyombo vya habari na wana TLS wamefanunua kutokuridhika kwao na baadhi ya mambo yalivyofanyiwa kazi.
Lakini Pia sote...
Du kaazi kweli. Ila jambo moja najiuliza kuhusu utaratibu sijapata jibu bado. Kesi ya Masha tayari imefikishwa mahakamani kwa speed ya aina yake. Ile ya Ndugai kutuhumiwa kutembeza mkong'oto kongwa pamoja na polisi kutangaza walishakamilisha upelelezi lakini bado hatujasikia hatima yake. Mwaka...
Haya ndiyo matokeo ya kura za maoni jimbo la Kongwa
1. Job Yustino Ndugai 30,470
2. Dr. Joseph Chilongani 3,935
3. John Palingo 3,521
4. Amon Lembao 2,316
5. Paschal Mahinyila 1,622
6. Hussein Idd Madeni 1,044
7. Simon Ngatunga 838
8. Samweli Chimanyi 793
9. Epafra Mtango 252
8.
Ubunge Kongwa, Ndugai atoa rushwa awekewa pingamizi
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM amewekewa pingamizi la pili baada ya kutoa Rushwa hadharani katika mkutano wa kujinadi kwa wanaCCM jana katika kijiji cha Lenjuru.
Ilipofika zamu yake kujinadi Ndugai alitia mkono mfukoni akatoa bulungutu la...
Huku Kongwa ni balaa. Heri katiba mpya ingepita ili spika asiwe Mbunge ila kwakuwa yeye mwenyewe alipinga hilo na kongwa wanataka kumpumnzisha safari hii!!! Labda arudi kwa uteuzi wa Na.1
Ukifuatilia post za masonjo kwenye mada mbalimbali hupati shida kujua Masonjo ni ndugai. Mliopo kongwa tujuzeni masonjo leo kimejiri nini kwenye kampeni. Mwenzenu hafikirii ubunge wenu yeye ni spika na Waziri asiyehitaji kulitumikia jimbo.
Ingekuwa Masonjo usemayo ni sahihi asingezomewa kuonesha kutokubaliana na dharau alizoonesha. Wananchi wanaujua ukweli.
Yaelekea wamjua vizuri Ndugai hebu tueleze Kuna Ofisi ya Mbunge Kongwa?
Jana Ndugai alizomewa Mji Mdogo wa Mkoka baada ya kuonesha dharau kwa wagombea wenzake!
Challenge Kubwa ni Kutoka kwa Dr Joseph Elieza Chilongani ambaye anakubalika sana miongoni mwa watu wa kawaida. Kama Uchakachuzi hautafanyika kuna uwezekano mkubwa Dr Chilongani akawa chaguo muafaka kama...
Katika hali inayoonesha kuishiwa sera na ubobezi katika kukiuka taratibu, Mbunge anayemaliza muda wake Job Ndugai, ametoa kituko baada ya kuahidi mifuko hamsini ili eti kumalizia Nyumba ya mmoja wa wagombea wenzake anayeishi katika mji mdogo wa Mkoka. Kitendo hicho kimetasfriwa kama ahadi ya...
Anayeongoza Jimbo la Kongwa kwa sasa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai.
Anakabiliwa na upinzani kutoka kwa makada nane hivyo kufanya idadi ya wanaogombea nafasi ya kuwakilisha CCM katika kuwania ubunge wa jimbo hilo kufikia tisa.
Makada hao ni...
1.Samwel Chimanyi...
kongwa chukueni hatua sasa
hebu tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2010 kama ilivyoripotiwa na Nipashe la tarehe 08/08/2010.
Nako mkoani Dodoma, wagombea ubunge watatu kati ya tisa waliojitokeza kugombea katika jimbo la Kongwa, wamepinga matokeo ya kura za maoni ambayo yalimpitisha Job Ndugai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.