MM, naomba urdi TZ uje tufanye hayo utamaniyo may be utakuwa chachu ya kuwa na chama chenye siasa zenye utofauti, siasa za kujadili issues na solutions na sio sisa za kuishi kwenye matamko na matukio, siasa za kutafutana ili tumalizane na ili tuonekane sisi wa maana ...njoo home kaka njooo...