Recent content by konga

  1. K

    Nahitaji mwanaume ambae mke ni vuvuzuela

    mh. Sasa hii kali wa mwenzio upate nini. Wavunja ndoa au wataka nini.
  2. K

    Nisaidieni jamani nifanyeje?

    Ndugu yangu pole sana kwa yaliyokukuta zaidi zidisha maombi kwani kama ni MUNGU ndiye aliyekupa atakuonyesha njia sahihi ya kukabiliana nahilo tatizo. Ushauri wa mwanadamu unaweza kuangalia upande mmoja lakini ukiomba kwa Mungu atakupa ulio bora na wa busara.
Back
Top Bottom