Recent content by kong77

  1. kong77

    Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC

    Naona tuungane na congo amani tutawapa kutoka tpdf
  2. kong77

    Bangi haina madhara yoyote kama tunavyoaminishwa, iruhusiwe

    Bora iruhusiwe si tuna shida ya dollars hapa
  3. kong77

    Marekani asipokuwa makini mashariki ya kati ataipoteza kwa Uchina

    Si inasemekana utajiri wao ni fek wanachapisha pesa wenyewe ndio wanaamua watuambie wanakiasi gani
  4. kong77

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuunganishiwa umemw ni bei gani ? Kwa vijijini na mijini pia umeme unatarajiwa kupanda garama za kuunga au kupungua?
  5. kong77

    Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

    Ntakupa namb zake umcheki kama utakua dar anaweza akakutumia dawa
  6. kong77

    KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Hivi kwanini tanzania isiungane na congo tuwe nchini Moja? hii maneno 92kj ingekua imeshaihitmisha
  7. kong77

    Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

    Hii ni kwel mkuu Mimi nimewapa wengi namba ya bibi wa dawa ya vidonda vya tumbo na matatizo ya kupata Mimba ajabu hawalet mrejesho hatakusema thanks jamani duh
  8. kong77

    Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

    Hii ni kwel mkuu Mimi nimewapa wengi namba ya bibi wa dawa ya vidonda vya tumbo na matatizo ya kupata Mimba ajabu hawalet mrejesho hatakusema thanks jamani duh
  9. kong77

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Kabisa Yani ukiiona hiyo barabara iliyofungwa utakubalina na na hawa wazee uwamuzi wao ulikua sahihi barabara imegeuzwa mto
  10. kong77

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Wakuu sio kweli Mimi niko kitopeni Kwa Mashaka kilichotokea ni kwamba shukuru kawambwa anatetea maslahi ya wengi hapa kitopeni yameanzishwa machimbo ya mchanga kilometer mbili kutoka stand kuu ya bagamoyo na Mita mia tatu kutoka bagamoyo road kama unaitazama kesho unaona kabisa shukuru kawambwa...
  11. kong77

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Mkuu ni kweli tukio lililotokea limetushangaza sana wakazi wa kitopeni Kwa Mashaka huyu diwani ametukosea sana wananchi pamoja na wazee wetu Mimi binafsi nilikuepo kwenye kikao Cha uamuzi wa kufunga barabara ila kilichotokea Diwan aligushi mutsari na Saini za wanakijiji kuhalalisha machimbo...
  12. kong77

    Polisi mkoani Pwani yawakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri Mstaafu Dkt. Kawambwa! Aliyerekodi Video atakiwa kujisalimisha!

    Habari wakuu Mimi ni mkazi wa maeneo ya kitopeni Kwa Mashaka siishi huku ila hua ninakija mara Kwa mara kuwatembelea wazee wangu hii ishu ni kweli imetoke ila kinaendealea ni kwamba aliemzalilisha mstafuu ndio hao hao waliorecodi video na pia alichokua anakifanya mbunge mstaafu ni kitendo Cha...
  13. kong77

    Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naungana na wewe itasaidia sana usalama wa congo
Back
Top Bottom