Kuna mhuni alinifuata kuniuzia bunduki kama vile anauza simu ya wizi. Nilikuwa zangu saluni nanyoa, jamaa akafunua shati lake alikuwa ameichomeka kiunoni akanionyesha, akaniambia anaiuza. Nikamjibu sihitaji, akasepa zake
Yeah ni kweli kwa kiasi flani alichokiongea jamaa. Inategemea na kampani yako. Marafiki zangu wote wa kisauzi kuanzia Joburg hadi Durban walikuwa watu safi sana na ni wastaarabu kuzidi hata ustaarabu wenyewe. Hawakuwa na uhuni wowote na tulikuwa tunashirikiana mambo mengi ya muhimu. Ila kwa...
Washakuona boya. Hebu susa kutoa matumizi uone utakavyokuwa unatoa amri kama mfalme. Nakuhakikishia utakuwa unaletewa mtoto na utakuwa unakula mbunye ya mama ake bila hata kuomba
Wewe jamaa mala useme dola feki, mara useme chuki kwa matajiri, mbona kama unajipinga mwenyewe? Nakupa tu msaada wa bure ili usijipinge mwenyewe tena maana inaonekana hueleweki hata unachosimamia. Kapuku ndio anabeba dola feki, tajiri anabeba dola halali. Sasa rudia upya ulichokiandika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.