Recent content by konabar

  1. konabar

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    sasa mnaumia nini sisi tukiabudu snamu????? sababu nyinyi mnajua kuliko hata akina nyerere wenye elimu kubwaaa na walisali roma mpka wanakufa ukute huna hata cheti cha la saba et umemshinda mtu mwenye masters kungamua jema na baya mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
  2. konabar

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    unategemea usome mstari mmoja uelewe dini yenye zaidi ya miaka 2000 ??? nyinyi ndo wale paper kesho leo mnataka msome vtini vya kuanzia siku ya kwanza na kusema mmeelewa
  3. konabar

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    yaan watu kama huyu.... ukute form 4 failure ... elimu ya dini amefundishwa na wahuni wataka sadaaaka ambao wameunganisha mabati na matulu bai baada ya kugombani sadaka kanisa fulani anakuja kujimwambafai hapa anajua kila kitu..... ukiacha madhaifu ya kibinadamu hv unajua upadre unasomwa miaka...
  4. konabar

    Nyanya ipi hybrid isiyo na bei gali lakini inafanya vizuri shambani?

    tunaomba mawasiliano plz kama unaweza nitumie inbox
  5. konabar

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    kwanini umtishie mtu asie amini katika mungu kuwa na jihannam ilihali hyo jihnamu akuna alieithibisha????? wengi mna amini katka sababu ya hofu ya jihannamu akipatikana mtu hana iyo hofu inaonekana shetani
  6. konabar

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    kwaiyo kwa lugha allah anamakusudi yake watu wengine wasiuelewi uislam ili awa adhibu vikali?????? kuna mda huo naona dini inazuia binadamu kuwa kwa kina ili hali tulishapewa hofu
  7. konabar

    Wadau natafuta soko la mihogo mibichi

    Peleks buguruni
  8. konabar

    Wanafunzi kesi ya mauaji waruhusiwa kujiandaa mtihani wakiwa gerezani

    Kwann hawa wanafunzi wanaumri mkubwa hivi na niwote
  9. konabar

    Natafuta pikipiki kwaajili ya kununua

    Kama kichwa kinavyo jieleza natafuta pikipi aina ya boxer au tvs used muuzaji awe na documents na iwe in good condition....kwa mengi zaida njoo inbox ... ukiona umempa mtu boda azungushe na aleti marejesho bora utupe mabahari nasitukupe kijipesa upunguze machungu... bora nusu hasara kuliko...
  10. konabar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Probality ya kupata nikubwa pia
  11. konabar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Meridianbet,sportpesa,betpawa e.t.c
  12. konabar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kabla ya yote tahadhari lazma ichukuliwe. Usije bet kwa pesa ya ada, mtaji wa biashara, au pesa uliotumwa ikirudi ni bahat sana coz unakuwa na presha ya selection of option. Kuna njia kazaa znaweza kukupa maslahi kiasi ktk bet. 1. Usirudi option ktk mikeka mingine kama wa bet mikeka mingi 2...
Back
Top Bottom