Siku likikukuta la kukuta ndio utafahamu umuhimu wao maana kawaida ya binadamu kama wewe huona umuhimu wa kitu pale anapokihitaji, na siku hiyo ndipo utakapotofautisha polisi na jambazi.
Mleta mada bila shaka kuna jambo kubwa limekubana moyoni ni bora usubiri wakati wake ndio ulitoe, ni lini watu wote wa Mwanza walitamuka kwamba hawaitaki CCM, una ushahidi gani kwamba wote wamefurahia kuteuliwa kwa Magufuli?, kama suala ni umati wa watu wanaojitokeza kwani umati huo ndio kwanza...
Mimi nadhani hili ni tatizo zaidi ya ujambazi, jambazi hutafuta hela ni si kutafuta silaha watanzania tukiendelea kujadili mambo kirahisi namna hii tujue tunazidi kuchelewa kulikabili tatizo.
Uongo mkubwa uliwahi kuona wapi polisi wanasindikiza misafara ya majeshi mengine? pia Mwamunyange ni mkuu wa Jeshi la ulinzi -TPDF, kila jeshi lina mkuu wake kwa mujibu wa sheria iliyounda taasisi hiyo, mkuu wa majeshi yote ni raisi na si vinginevyo.
Wewe umekariri kwelikweli tena aliyekukaririsha alishakufa haoni mabadiliko yaliyopo nchini sasa, katika watumishi wa umma umekaririshwa kuwa watumishi wenye maisha magumu ni polisi na walimu pole sana.
Sehemu kubwa ya askari unaowaona ni watusi hawana la kufanya kwa sababu ni kazi ila mioyoni hawako tayari kutumia nguvu dhidi ya watusi wenzao ambao ndiyo wanaompinga Nkurunzinza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.