Hata Dr Slaa ,Zitto, Lawassa, Mkumbo, Waitari,Kaburu,Shibuda na wengine wangi walipotoka Chadema waliondoka na wangapi?
Sisi tusijisifu kwa Siasa za kukodi Siasa ni hoja na vitendo sio hizi zenye ukakasi ambazo zinatuacha sisi tuliokipigania chama kipindi tunaitwa majina yasiyostaha japokuwa...