Recent content by kombelo la mfalme daudi

  1. K

    Waziri Mwigulu mchemba alidanganya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu malipo ya watu wa Ukonga Kipunguni

    Alisema malipo ya watu wa ukonga kipunguni. Wanaodai fidia ya malipo ya makazi yao. Kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege watalipwa ndani ya mwezi mmoja lakini mpaka Sasa hakina chochote kilicho fanyika watu wanaishi Kwa taabu Sana na kushindwa kufanya maendeleo yoyote. Mheshimiwa Rais wasaidie...
  2. K

    DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Wananchi wa kipunguni ukonga wapo ktk Ari mbaya Sana. Nahuku waziri wa fedha akiaidi bungeni mara Kwa mara kuwalipa lakini hatekelezi haadi yake. Muda unazidi kwenda wananchi wanateseka. Sasa mheshimiwa Rai's mama Samia wasaidie wananchi wako. Maana watu ulio wapa nafasi wamekua wahongo Sana. ...
  3. K

    Mbowe ajitokeze haraka hadharani kueleza fedha za join the chain zipo wapi na zilipatikana shilingi ngapi, ili kuondoa malalamiko ya wanachama

    Ww Lucas ni C.C.M maisha ya watanzania ni magumu Sana. Familia nyingi zinakula mlo mmoja Acha upumbavu mama ametufikia wapi
  4. K

    Serikali walipeni wakazi wa Kipunguni kwa kuwa tathmini imekamilika

    Wananchi wa Kipunguni sasa hivi wanasubiri malipo tu. Kama tathimini ilisha fanywa pia mbunge wa Segerea Mhe. Bona alitoa taarifa na kushukuru na kuomba Serikali iwalipe haraka kwakua zoezi limekamilika. Pia soma > Wakazi wa kipunguni dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu...
  5. K

    Bajeti kuu, 2023-2024: Mapendekezo ya kufutwa kwa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaopangiwa vyuo vya kati

    Kumbe hata hayati j.pm alikataa kujengwa bandari bagamoyo. Kutokana na mashariki mabovu ya mikataba. Na wakati huu mama Samia alikua makamo wake kwahiyo Hilo sio geni kwake. Ila wameamua Tu makusudi Kwa masilai ya wachache. Kusamehe hada ya vyuo nikitu kidogo. Ila kuchezea Nchi atukubari kuna...
  6. K

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Wanataka kututoa kwenye mstari la mhimu bandari zetu. Tumezoea kuishi na njaa.
  7. K

    Waziri wa Kazi na Ajira amelala usingizi mikataba ya madereva

    Katika Nchi zilizoendelea wizara ya kazi ni wizara muhimu Sana. Kwasababu inatakiwa kusimamia haki za wafanyakazi katika sekta zote. Ili hao wanaofanya kazi waweze kulipa kodi Kwa kila kazi ambayo anaifanya. Sasa ktk sekta binafisi watu wanalipwa mkononi pesa za ujira ya siku au Kwa wiki hata...
  8. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    KIPUNGUNI (A) na Kipunguni mashariki ambayo unaingilia Banana tumepakana na uwanja wa ndege. Tuna mgogoro miaka 22 Sasa . Mwaka huu wametufanyia tathimini lakini SERIKALI hawasemi ukweli wanatulipa lini Yaani hii SERIKALI yetu haiwajali wananchi wake kabisa
  9. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mbunge Bonah Kamoli tunaomba ufafanuzi juu ya suala la bomoa Bomoa Kipunguni, ikiwezekana kikao itakuwa vyema zaidi, maana hakueleweki maana tunasikia ni mwezi wa nane mara mwezi wa Saba. Unafahamu fika juu ya adha inayo tukabiri wakazi wa Kipunguni. Tunaomba kujuzwa. Tunajua unatupambania...
  10. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
Back
Top Bottom