jamani kweli jk umeshindwa uchagua watu makini wa kukusidia kazi kati ya watu zaidi ya arobaini waliopo nchini. Hivi huoni nchi yetu imegeuzwa shamba la bibi? kila mtu anatenda na kusema atakalo bila kujali protokali.je hali hii wanajf naomba tujadili mfumo huu una2peeka wapi?je tutafika?Kama...
kwa kweli nchi yetu inakwenda pabaya manake hizi salakasi za akina Luhanjo na Jk zinakatisha tamaa.Ningekuwa na uwezo kubadilisha utaifa ningefanya hivyo.Nahisi kuna kitu cha ajabu kitatokea katika utawala wa jk ambacho ckupenda kushuhudia.Je inawezekana kauli ya katibu kiongozi aliitoa bila...
hivi mfanyabishara wa mafuta anapata wapi jeuri ya kuipa serikali 24? halafu hamna kauli yoyote iliyotolewa na serikali dhidi mtu huyu,usalama wa nchi unafanya kazi gani? je serikali inaogopa kujibu kauli hii? kwanini? Kuna nini kati ya serikali ya ccm na mfanyabishara huyu,naomba mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.