Kama huu mradi ungekuwa unafanyika kule kijijini kwetu Chatu nina imani ungefanyika. Ila kwakuwa ulipangwa ufanyike kijijini kwenu Kifutu, wacha tu usitishwe.
Usikute Huyu multimedia speaker system alikuwa anakula mshahara wa Lissu huku kwenye hesabu akijumlisha kuwa kamlipa Lissu.
Sasa CAG kakagua na kagundua na huenda kaiorozesha kwenye ripoti na ndio maana jamaa kagoma kufanya Kazi nae.
Mimi bado nasubiri kusoma comments za Lissu, maana naona waleta mada wote wanaogopa kumtaja starling wa hii move wakati wanamjua.
Acheni kuuzunguka ukweli na kuzitupa lawama kwa Spika wakati mbeba lawama anafahamika.
NB:
Ata mimi naogopa kumtaja hivyo msiniulize
Mkuu #Barafu tafazali toa somo pia juu ya Kampuni ya Airbus kutuuzia ndege alafu kuja kuikodisha tena kwa ajili ya maonyesho.
Hii imekaaje, au walituuzia latest kimakosa na hawana nyingine kama hiyo?
Hizi drama sijui zitaisha lini.
Mkulu alikuwa anaziara ya kuja uwanjani kuangalia forker50 inaendelea VP, sasa ili kupata Kik ikabidi story itengenezwe bila wao wenyewe kujipanga.
Na hii ndio maana unisikia M5 sijui M7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.