Recent content by kolokoni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Falcuties za HGK

    dogo kwa sasa chuo cha kusoma ni UDOM sasa nashangaa kwanini hujafanya uamuzi sahihi mpaka sasa,usibabaike na mji njoo UDOM upate elimu iliyo bora fanya uamuzi haraka sana.sitanii najali sana future yako
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hili la mchujo kidato cha kwanza limekaaje.?

    kaka wizara yako haina wataalamu, kitendo cha kusema watoto washedi jibu sahihi ni kusababisha watoto kufaulu bila kujua kusoma na kuandika. sasa huo mtihani wanini kama NECTA wmeshindwa kazi kwanini wawaletee huo mzigo? ooo Tanzania ipo siku tutabadili lugha ili tuelewane maana watoto wao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya Tanzania vyatia aibu

    sasa mpira na taaluma wapi na wapi kaka
  4. K

    JamiiForums Tanzania UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

    Hata kikiwa cha kwanza duniani haitokusaidia mtaani,soma dogo acha kusifu kinywaji kwa uzuri wa chupa.utapoteza pale utakapojikuta unafanyiwa interview na mwanafunzi aliyesoma chuo cha mwisho duniani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

    Hiyo orodha haitakusaidia mtaani hata kidogo,soma dogo hata ukisoma havard kama kilaza kilaza tu.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mko wapi?

    sasa mbona hujaweka picha yako
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike watumia mtandao kujiuza

    sasa cha ajabu nini ni mambo ya digigital hayo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hatari udom, ya mtwara wiki hii

    acha uongo kama huna cha kusema kaa kimya
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kaimu mkurugenzi halmashauri ya jiji Arusha hafai kuwa mkurugenzi!

    :violin::violin::violin::violin:
  10. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi nendeni UDOM wanafunzi wanakufa njaa!

    Acha kuandika uongo kwenye mtandao, wewe ulipewa boom ukanunua subwoofer sasa unataka nini? Fanya uamuzi kama huna pesa omba kwa rafiki acha kudeka na visingizio
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa walimu wapya ni lini???

    jiajiri mwenyewe dogo we kaa tu uone
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waalimu wengi wa sekondari za serikali wana ajira zaidi ya moja

    TGTS B1 kwanini usiwe na kazi zaidi
  13. K

    JamiiForums Tanzania UDSM-Law First Classes

    Yaani ninyi watu nashindwa kuwaelewa: tueleze baada ya kusoma umelifanyia nini Taifa lako sio kusema ulipata A sasa sisi tufanye nn na A yako? Kumbuka hata mawakili wengi wa serikali hii wamesoma UDSM na kila siku MCH Mtikila anawagalagaza mahakamani. Kama unakichwa kibovu hata usome Oxford au...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Reshuffles UDOM zinatisha

    Kweli UDOM ipo juu, yaani kila mtu anataka kujua habari za UDOM sikiliza dogo acha kufuatilia maisha ya watu kama una shida ya pesa sema sio kumlalamikia andunje kila mara. Tena jaribu kuandika kwa makini ili watu waelewe andunje hana kosa. Soma organization behavior utaelewa tabia mbalimbali za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania why udsm...school bus....watu wanalipa nauli..ya usafili ..wakati its school bus.....

    Hii ni sifa moja ya shule za kata zinapatikana mbali sana na makazi ya watu, njoo kwetu hebu ona hapa
Back
Top Bottom