Recent content by Kolimba Jr

  1. K

    Maswali magumu kwa Edward Ngoyai Lowassa

    MASWALI MAGUMU KWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASA Kwako mh. Edward Lowassa, Ni matumaini yetu kuwa u mzima wa afya. Kuelekea mchakato wa Urais mwaka huu tumesikia kuwa nawe baba utatangaza nia. Sisi wananchi wa mtaani tunayo maswali machache tunaomba utusaidie tupate kujua wakati utakapotangaza nia...
  2. K

    Membe afanya kufuru Zanzibar, amwaga pesa kwa wajumbe wa NEC CCM

    Wakati viongozi na wafuasi wa CCM wakiwa wanaomboleza kifo cha Kapteni John Komba, na wengine wakiwa kwenye mazishi huko Mbinga, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa mh Bernard Membe ametumia muda huo kufanya kufuru ya pesa visiwani...
  3. K

    Kwa kauli hii ya Kikwete, Membe, Lowassa na makada wanaotumikia adhabu ya maadili wasahau Urais

    Kauli aliyoitoa Rais Jakaya Kikwete katika uwanja wa Majimaji mjini Songea kuwa "CCM inao watu wengi wasafi..." inatafsiriwa kuwa ni msumari wa mwisho kwenye kaburi la makada 6 wa chama hicho tawala katika mbio za Urais nchini. Makada hao ambao wanatumikia adhabu waliyopewa kwa kukiuka maadili...
  4. K

    Mangula alishukia genge la Lowassa lililomwaga rushwa Zanzibar, Hatua kali kuchukuliwa

    Makamu mwenyekiti wa CCM Philip Mangula amesema genge lote lililoshiriki kugawa rushwa Unguja na Pemba kwa wajumbe wa NEC na mkutano mkuu wa CCM hatua kali za kimaadili zinachukuliwa. "CCM haitamshindwa mtu mmoja anayekivuruga chama..."alisema Mangula. Wakati huo huo askofu mkuu wa Kanisa...
  5. K

    Mangula, TISS mmelibariki genge hili la Lowassa kugawa kwa wajumbe mamilioni ya Xmas na Mwaka Mpya?

    Naomba kuwauliza CCM kuipitia kamati ndogo ya maadili inayoongozwa na mzee Mangula, haya yanayofanywa na Lowassa na Genge lake ya kumwaga mamilioni huko Unguja, Pemba na Tanzania bara kwa wajumbe wa NEC na mkutano mkuu hamyajui au mmeyabariki? Naomba kuiuliza idara yetu nyeti ya Usalama wa...
  6. K

    January Makamba awaita wasanii wa Bongo Movie Serena Hotel leo

    Katika hali ya kushangaza, naibu waziri wa Sayansi na Teknolojia January Makamba amewaandalia chakula cha jioni wasanii wa Bongo Movie leo jumatatu usiku Serena Hotel, imefahamika. Mualiko huo unaoratibiwa kwa karibu na msanii JB, unatarajiwa kuambatana na maombi ya bwana Makamba kwa wasanii...
  7. K

    Rais Kikwete amuamini Pinda kumuwakilisha katika ziara nyingi za nje

    Waziri Mkuu Pinda akisalimiana na Rais Eduado Do Santos wa Angola alipohudhuria kikao cha wakuu wa nchi za SADC kumuwakilisha Rais Kikwete
  8. K

    Rais Kikwete amuamini Pinda kumuwakilisha katika ziara nyingi za nje

    Tanzania Kwanza 2015 hajaanza leo, mwaka 2012 Pinda alimuwakilisha Rais kwenye mkutano Luanda Angola ambako marais mbalimbali walihudhuria
  9. K

    Rais Kikwete amuamini Pinda kumuwakilisha katika ziara nyingi za nje

    Rais Dr . Jakaya Kikwete ameendelea kumuamini Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumuwakilisha katika mikutano na kazi mbalimbali nje ya nchi ambazo nyingine alipaswa kwenda Rais mwenyewe. Wiki chache zilizopita Pinda alikua na ziara ndefu ya Uingereza, Poland na Dubai. Akiwa Poland waziri mkuu...
  10. K

    Ikulu leo: Pinda awa kivutio kwa wasomi wa vyuo vikuu, wagombea kupiga nae picha

    Nakubaliana nawe kuwa Pinda ni waziri mkuu, lakini sikubaliani nawe kuwa wasomi wale ni washamba na walichofuata kwa Pinda ni uwaziri mkuu wake. Hilo laweza kuwa jibu jepesi sana
  11. K

    Ikulu leo: Pinda awa kivutio kwa wasomi wa vyuo vikuu, wagombea kupiga nae picha

    Tatizo kubwa humu ni nini, mnakataa kuwa Pinda hakugombewa na wasomi wa vyuo au mnatamani watu mnaowataka nyinyi ndio wangewavutia wasomi,? Fact ni fact jamani, tuache chuki za kijinga.Kama mtu wako unayempenda hakuwavutia watu basi tulia tu, mshauri ajiweke karibu na watu. Mbona Mwigulu Nchemba...
  12. K

    Ikulu leo: Pinda awa kivutio kwa wasomi wa vyuo vikuu, wagombea kupiga nae picha

    Katika hafla ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru Ikulu leo, wanafunzi wa vyuo vikuu wakiwemo viongozi wa serikali za wanafunzi wamewapa taabu kubwa walinzi wa waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya kumgombania wamsalimie na kupiga nae picha. Wanavyuo hao walimzunguka waziri mkuu na kumuweka katikati...
Back
Top Bottom