Recent content by kokuhumbya bushoke

  1. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Pia Hospitali ya Muhimbili kulikuwa kunakitengo kinaitwa Makuti kina Mama wenye watoto wenye utapiamlo walikuwa wanalazwa pale na watoto wao na kufundishwa jinsi ya kupika chakula bora!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

    Sio pilot aulize hali ya hewa kwanini wasimwambie pilot huku hali ya hewa sio nzuri tua uwanja wa Mwanza!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kutoka Bukoba huwa wanajiamini sana tena ni watata tokea enzi za Nyerere

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha Mr Kashaija kwa majidai ya vyeti vyake na alikuwa anatuambia hata nikikupa cheti kimoja pado ninavyo vingi!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

    Walipwe haki zao mbona Bashite aliendelea kufanya kazi na huku anavyeti fake na wengine PhD fake! Hongera Mama Samia kwa moyo mzuri Mungu atakulipa!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Ahsante sana kwa kutuhabarisha Nitanunua leo niitazame niliingizie Taifa letu pesa, Hongera sana Mama Samia kwa ubunifu ulio makini!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Kiwanda cha chanjo ya Covid-19 kijengwe Kenya ilihali ilitangazwa kingejengwa Tanzania?

    Acha kijengwe hukohuko hatutaki Air Pollution Tanzania!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Mama kaamua kusikiliza ushauri wa TAL, [emoji120]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Shule Zamani za Tanganyika na Zanzibar enzi ya mkoloni zilifundisha Kwa Lugha kwa waliotutawala, ndio maana utasikia Elimu ya Mkoloni na wazee wetu wa zamani walijua kiingereza kidogo, hebu tusome hii[emoji116] When Germany colonized what was then Tanganyika in the 1880s, it introduced European...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Aisee Poleni sana, vita isikie kwa mwingine, mwaka huo nilikuwa mdogo na nilikuwa naishi Mbezi Luis kulikuwa hakujajengeka kama sasa hivi ni Giza tupu na nyumbani kulipandwa migomba basi migomba ikitingishika na upepo naona kama wanajeshi wa Idd Amin[emoji31][emoji31] Ndege ikipita angani hasa...
Back
Top Bottom