Wanabodi nimepatwa na kigugumizi kidogo nilipoona mahojiano kati ya mwandishi wa Global Publishers akiwa msibani nyumbani kwa marehemu Spika Mstaafu NDUGAI huko Dodoma akihojiana na mke wa NDUGAI aliyejitambulisha anaitwa Stella Mmassy aliyesema walioana mwaka 1988 huku akidai ndoa Yao ni ya mke...
Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya
1. Nape kura 3,160
2. Nahonyo kura 1,545
3. Chilumba 824
4. Jemadari Saidi 358
TANESCO!!! TANESCO!!! Mmekuwa kero kila siku ifikapo saa 2 usiku, umeme imekuwa ni bidhaa adimu huku Mbagala Majimatitu A kukatika pasipo kuwa na taarifa. Jana umeme umekatwa saa 4 na nusu usiku Hadi muda huu wa saa 6 na nusu usiku umeme haujawashwa. Uongozi wa TANESCO uwe na weledi wa kujali...
Imekuwa ni kawaida kila siku kuanzia saa moja usiku, umeme Huwa unakatwa eneo la Maji Matitu, TANESCO kuweni wawazi mtupe maelezo kwa Nini kila siku tatizo husika linatokea?
Mkuu hakuna mechi za uhakika, huu ni mchezo wa kubahatisha. Hatahivyo Bayern Win, PSG Win, ManCity vs Chelsea 1.5, Leverkusen 1.5, Napoli 1.5, Galatasaray Win, PSV Win, Benfica Win/Draw, Celtic Win, Arsenal 1.5, Liverpool Win na RMadrid Win
Kutompa kura MBOWE ni kuhalalisha kifo Cha chama chetu pendwa, HATUPO TAYARI KUMPOTEZA MBOWE, huyo Lissu wenu arejee kwao Ubelgiji, atuachie Bongo yetu na Kamanda Mbowe anatosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.