Recent content by KOFIANAN

  1. KOFIANAN

    DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

    Me nadhani kuna tatizo sehemu Fulani, kwa watu ambao hawana dhamana kulisemea ni kazi bure. Labda tuulize ikiwa wewe ni mmoja wa wanakamati ya ulinzi Na usalama unaruhusiwa kuvaa sare za chombo cha ulinzi Na usalama? Je mkuu wa police hajaliona hili? Je waziri lugola hajaliona Wala...
  2. KOFIANAN

    Kesi ya ndege ya ATCL inayoshikiliwa Afrika Kusini kuanza kuunguruma leo nchini humo

    Wajitahid kwa uwezo WAO wote, Pia wajaribu pia kuwatumia wazee wetu wazoefu akina CHENGE. Kama ikifaa hata wanasheria bnafsi, upinzani Na wenye utaalamu wawashirikiane,
  3. KOFIANAN

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Ni sahihi ndio maana nikasema ni wazo tu Leonardo, Unaweza kuorganise wahitaji tukachangia Kama wazo lako
  4. KOFIANAN

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Tuangalie namna sio lazima tupate yote at least tupunguze mimi nitachangia kwa chochote mwenye nacho tuangalie utaratibu. Angalizo langu atakaye organize asililete kisiasa, naamini tunaweza pata kiasi cha kupunguza maumivu Na serikali ikajazia . Ni fikra zangu tu, TUKISUBIRI HURUMA TUNAPATA...
  5. KOFIANAN

    Makosa ya awamu za nyuma yamekuwa kaa la moto kwa Serikali ya Rais Magufuli

    Kabisa hii ni Vita ya uchum tutashinda, inatakiwa tujipange kwa Akili sana, mbinu ni nyingi sana, ngoja tuchore mipango, waone Akili zetu zilivo
  6. KOFIANAN

    Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

    Hueleweki wewe ungejuwa kupiga ramli ungeipigia familia yako maana ina mambo kibao unajichanganya tu
  7. KOFIANAN

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Ni kweli kwa haraka lakini tuna mengi ya kutegemeana, lamsingi ni kutatua tatizo tu,
  8. KOFIANAN

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Daaaaah SA ni ndugu zetu, Kama kuna tatizo lolote la kimkataba wangelisema tu, but naiomba serikali ilifanyie suala hili kazi kwa haraka kwa juhud ili tuweze kutoa huduma,
  9. KOFIANAN

    Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

    Nakupuuza si mseme kweli tu jaman? Tunahitaji muda sana kuwa na ubongo wenye fikra.
  10. KOFIANAN

    Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

    Sijuw nikuambie nn, ina maana ss ndege zetu haziwezi kuharibika? Sembuse ETHIOPIA wanapaki mandege yao ije kuwa sis wenye ndege chache? Kwani kuna aliyetak kusafiri akakosa ndege? Fikiri sio kujiandikia tu,
  11. KOFIANAN

    Moshi: Madiwani wa CCM wakataa 'mpango wa Madiwani wa CHADEMA' kutaka kununulia Madiwani wote Ipad

    Haka kajamaa ni kaizi sana. Kimesahau Kama kilikuwa mwenyekiti aiseeee, mbumbumbu kabisa, alafu anadhani hatuna data zake za upigaji, SISI SIO MASEMBO WEWE JAMAA. SIKU NIKUTANE NAWE KWENYE MKUTANO NA KIONGOZI MKUU YUPO WALAHI UKICHOMOKA MORISI MM NAJIKANA URAIA WANGU, KOMINYO NGAABA KORINA LYA...
  12. KOFIANAN

    Moshi: Madiwani wa CCM wakataa 'mpango wa Madiwani wa CHADEMA' kutaka kununulia Madiwani wote Ipad

    Kuna diwani mmemtaja hapa, MORISI MAKOI akae kimya kabisa ,huyu jamaa ni mwizi, amesahau kuwa waliuza mfereji kwa mzungu wa Vaso agrovanture? Wakatafuta wazee wetu wasiojuwa kusoma Na kuandika wakawanunulia mbege Na nyama mwisho wakaufukia mfereji uliokuwa unasaidia DAKAU nzima. Nawakumbusha MH...
  13. KOFIANAN

    Kulazimisha watumishi wa umma kujiunga CCM sio Demokrasia

    Hii mbaya sana tusiwalazimishe. Nadhan kuna watu hawakitendei chama Haki, kuna vitu watu wanakurupuka sana. Mwisho wanasema maagizo hili sio zuri ,
Back
Top Bottom