Recent content by KoffiYardley

  1. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Kura hupigwa vituoni na kuhesabiwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama na wagombea na kutangazwa vituoni.Wizi hutokea wapi?

    Pamoja na umakini wowote Kariakoo unakabidhiwa simu ulonunua mwenyewe kumbe unaondoka na kipande cha sabuni. Sembuse mawakala wachumia tumbo na vijimambo vingine? Utajua ulikua haujui
  2. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Karamu ya mwisho na majigambo ya mtandao

    Kumbukizi: ... pale IKULU sio pango la walanguzi ! Isikubalike
  3. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!

    Mkuu, naulizax3, umeuelewa uzi? In short, 'karma is real, changanya na za kwako, maandiko na kama historia zilivyo, kujirudia ni kama kawa. Hayo ya subhana wa-taala yamo humo pia. Mtume Paul alishakua Sauli! Nyongeza yangu, usishangae kishamba pale unapokutana na ngedere katikati ya jiji, tena...
  4. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Picha Hizi Za Mateso Ya Watoto Kutoka Gaza Zimenibubujisha Machozi ya Huzuni .Watanzania tutunze Amani na kuwalaani wanaotaka kuchochea Machafuko

    Luka- kumbuka hata ndani ya familia zetu kwamba 'tofauti za kimitazamo zipo'. Simba, Man U, Liva, Yanga et al kishabiki. Ushabiki wa kiasiasa upo au ni marufuku? Issue ya Gaza na historia ya huko kama waijua na kabla ya hapo, inahusisha pia umwagaji wa damu na ukatili usioelezeka na historia...
  5. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

    Mkuu, tarab na wewe wapi na wapi?;)
  6. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Pamoja na kuheshimu uhuru wa mawazo ya kila mtu ingependeza pia kuongezea kwamba watakuwepo wengine pia ambao watatosha kwenye hitaji la uongozi bora na siasa safi kwenye kinyanganyiro. Ila kama Tanzania itageuzwa kuendeshwa na 'consitutional monarchy' basi 'urisi nji hii' ki-uongozi (bananas!)...
  7. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Pia, Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA na kwa hapo Tanzania ikiwa ndo jina la Jamhuri ya Muungano wa nchi mbili sio? Kama Zanzibar Civil Aviation Authority ipo, ile ya upande mwingine ni ipi? Huku Tanganyika - Shirika la Ndege la Taifa - SNT PLC kwa upya kabisa kama Brand mpya linunue...
  8. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Ila pamoja na yote haya, WATANZANIA tubaki wamoja. Asiyeona na amwambie asiye sikia TAZAMA. Anaesikia anaweza mwambia anaeona, TAZAMA ambapo wote kwa pamoja watashuhudia MWISHO wa aibu ukoje siku ile ifikapo.
  9. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

    Mjomba P- unajua fika kwamba KANISA ni waumini, watu! Wanaweza kukusanyika pia chini ya Mbuyu. Kufungwa kwa jengo sawa na kuniyimwa sehemu maalumu ya kufanyia IBADA ibaki hivyo. Kanisa linaishi. Katika historia ndefu ya 'Kanisa' yapo pia makandokando yale ya 'Inquisition' yaliosheni ukatili...
  10. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Tanzania ipo Chini ya Mabwenyenye na CCM Walafi. Mtapigwa sana wale watu hawanaga huruma na Utu

    Vichwa vipo tele nchi hii! Kinyago tukichonge sisi (tulioajiri) halafu tukiogope! Suali linakuja hivi ni nani yuko nyuma yao hao tuliowaajiri? Uangalifu hakuna kwenye umuhimu wa 'ethnic origins'??? Si hatakule majuu US wengine walishaanza kujiuliza hivi yule BWEGE MWAMBA ni 'kirusi'?:oops:
  11. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Je viongozi kutoka Kaskazini ndio mabingwa wa kuuwa vyama vya Upinzani? Walianzia TLP ikaja Nccr mageuzi na sasa Chadema!

    Tofautisha KATI ya chama cha siasa, yaani watu wale walounganishwa kwa katiba yao na BAADHI ya watu waliomo humo wenye mitumbo mikubwa kuliko akili zao ambao hawawezi kua wakubwa kuliko CHAMA. Sasa CHAMA cha siasa kina tofauti gani na vingine vinavyojiita 'vyama vya Siasa' katika mikakati...
  12. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia diplomasia uliyojigamba Kuifungua nchini Tanzania inakwenda kuzama Rasmi kuanzia Leo

    Mkuu Lancs: Nanukuu busra za JKN, Baba wa Taifa kuhusu UONGOZI kwa ujumla yake kama ifatavyo: Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa kuheshimu Katiba kama msingi wa uongozi wa nchi. Aliona Katiba kama chombo cha kuhakikisha haki, demokrasia, na utawala wa sheria. Katika hotuba...
  13. KoffiYardley

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais wamuelekeze namna ya kuzungumza kwenye hadhara. Kuna maneno anatamka anaji icriminate

    Mkulima wa kahawa mie nabaki kwenye mstari ule kwamba TZ ni yetu sote na kutoka nje kidogo kwamba 'checks and balances' zitokanazo na vyama visivyounda serikali iliyo madarakani ni kwa manufaa ya ujumla kwa WWAJIRI, watu wa nchi hii, yaani WANANCHI. Hitaji la siasa safi kwenye mazingira ya...
Back
Top Bottom