Samahani ndugu ZANGU, Mm ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha, njiro natafuta kazi Kwa ndugu ZANGU mlioko humu ndani.
Nafanya hivi Kwa sababu Mimi nasoma Naingia mwaka wa pili but napitia changamoto mbalimbali Kwa maana Kila kitu ni Mimi najitegemea hapo chuo. Ko kama watanzania walioko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.