Recent content by kodo

  1. K

    Dr. Msigwa wa TUCTA kuungana na wa CCM kuwakandamiza watumishi , inauma sana

    Daa kweli nikiendelea kuzubaa nitakufa maskini. Asante Lisu kwa kutufungua macho sisi mablissing ignorants
  2. K

    Kosa lililowafukuzisha Zitto na Prof Kitila CHADEMA ni jepesi kuliko Walilosamehewa Kubenea na Komu!

    Zito na Kitila walikuwa very strategic kuliko VB vilaza hawana hatari yoyote wala ushawishi kwenye chama
  3. K

    Je, ni kosa kwa mwanachadema kuishabikia yanga?

    Tatizo ni hiyo rangi yao tu ni hapo tu baaasi
  4. K

    Majina ya kizungu yalivyoharibiwa na waswahili

    Usipotoshe kuhusiana na Kilimanjaro, hilo ni neno la kichaga likimaanisha kilimakirefu. Limetokana na neno halisi la kichaga 'kilimakyaro' hivyo wazungu walishindwa kutamka vema na kuita kilimanjaro kwa kuli document
  5. K

    Olduvai Gorge

    uko sahihi ndugu yangu japo jiji ni alama ya mkoa wa Arusha so sioni tatizo nikisema jijini Arusha
  6. K

    Olduvai Gorge

    Ni kweli kaka kuna haja ya kuondoa uzungunization katika elimu yetu ili tupate uhalisi wa mali asili zetu. Lakini nadhani jitihada hazijafanyika vya kutosha kuhamasisha utalii kutoka nje na ndani pia, hata uliopo unawanufaisha wachache tu
  7. K

    Olduvai Gorge

    Aksante bosi
  8. K

    Olduvai Gorge

    si george ni gorge likimaanisha bonde refu lenye kina kipana
  9. K

    Olduvai Gorge

    linapatikana wapi ndugu yangu hebu nirekebishe basi?
  10. K

    Olduvai Gorge

    Bonde la Olduvai ni sehemu maarufu sana hapa Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla. Umaarufu wa bonde hili unatokana na historia yake iliyotukuka kwani ndipo mahali ambapo fuvu la binadamu wa kale kabisa kuwahi kuishi duniani liligundulika na Dr Louis pamoja na mkewe Mary Leakey. Bonde hili...
  11. K

    Nini asili ya neno Kilimanjaro

    Inawezekana pia kutokana na kwamba babu zetu waliitumia milima kama sehemu za ibada pia lakini kwa maana ya Kilimanjaro, ndiyo hiyo iliyoelezwa hapo juu
  12. K

    Nini asili ya neno Kilimanjaro

    Kilimanjaro ni neno maarufu sana miongoni mwa wakaazi wa Afrika na duniani kote. Umaarufu wa jina hili umetokana na Mlima mrefu uliosimama pekee unaoitwa Mlima Kilimanjaro, upatikanao kaskazini mwa Tanzania. Asili ya neno hili ni makosa ya kisarufi yaliyofanywa na wageni kutoka ng'ambo ambao...
  13. K

    Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

    Kwa mbaaaaaali nimeikubali hiyo timu
Back
Top Bottom