Recent content by koboG

  1. koboG

    Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

    Ilikua swala la mda toka lini rama akawa kocha wa boli
  2. koboG

    Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    Yanga bwana ukikuta wanamsifia raisi wao napata wasi wasi na utendaji kazi wake Morocco
  3. koboG

    Mbunge Musukuma nae ni kati ya watunga sera na sheria za nchi yetu?

    Kumbe ukiweka pembeni akili za mamipira ya Yanga hua unashusha nondo nzuri hivi we unafaa kua shabiki wa simba
  4. koboG

    FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    Utopolo akipewa penati 2 ni sahihi ila simba akipewa penati vilio vinakua vingi bc iyo penati tunaita sio goal
  5. koboG

    FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Ni kwanini kocha rama anasema ligi ni nyepesi ila huko caf hali inakua tete kwa upande wa yanga shida hasa ni nini
  6. koboG

    FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Uzi umepoa nadhani wako wanafyeka vichaka vya CAF
  7. koboG

    FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Waze wa kuhonga team pinzani wanalejea uwanjani huku kikosi kikiwa chini ya mwalimu Rama cha msingi aambiwe ukweli kua game hua zinachezwa nje wa uwanja sio amaiona ligi yetu nyepesi
  8. koboG

    Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

    Utakuta Al ahly anaviporo 10 huo ni moto wa mabua tu
  9. koboG

    Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

    Mzize huyu hata kufinya hajua anatazama mbele mda wote
  10. koboG

    Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

    Mbona watanzania tunajiona wa kawida sana shida nini hasa? Hapa Afrika majeshi yanayo tuzidi skill labda ni taifa la falao tu
  11. koboG

    Huyu Chama kagundua Yanga hatuna mzuka naye sasa anataka kuwa anatuchomesha kwa Mikia

    Sisi ndio YANGA kwa jina lingine wananchi mtatufanya nini na mwaka huu tunafika robo fainali
  12. koboG

    Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Ndio maana sasa hivi siwaoni wale wabongo TikTok wanajirecord wakiwa huko USA wamepoa
  13. koboG

    Ni yapi maoni yakokuhusu game ijayo ya Simba na Yanga?

    Cha msingi utopolo wasipite mlango usio ruhusiwa. Pili hii game ndio itaamua hatima ya mwalimu Rama
Back
Top Bottom