Recent content by kobo

  1. kobo

    habari wanajamvi msaada kuhusu SAMSUNG galaxy s2 -1997

    hii simu ikiwaka inaganda kwenye logo ya sumsang haiendelei na nimejalibu kuboot haitak
  2. kobo

    Tatizo la pin kwenye tecno H6, naomba msaada

    Naomba msaada WA kuremove pin katka tecno H6
  3. kobo

    Naomba kufahamu kuhusu mashine za kukamulia maziwa ya ng'ombe

    kuna mashine zimenunuliwa ni zakituruk bt hazina manual book so nashindwa kuifanya vacuum inyonye maziwa kweny ng`ombe bt inawaka tu vacuum haifanyi kaz so kama mtu mwenye ujuz au namba ya mtu mwenye namba ya atakaye nisaidia plz wanajamvi
  4. kobo

    Nitapataje user manual ya mashine hii?

    Ni zimeandikwa milking machine manufacturing (simsek)type ya machine Ni IP55 MDF B 90s 34 4SI 10 S1 Ni single phase
  5. kobo

    Nitapataje user manual ya mashine hii?

    Kuna mashine za kukamua maziwa za kituruki zimekuja bila kitab cha maelekezo naomben msaid jins yakupata maelekezo.
  6. kobo

    Nitawezaje ku-install windows kwenye Toshiba c50-A635

    Nimejalibu kutumia usb bootable imegoma
  7. kobo

    Uchafu wa meno kama kutu, tatizo ni nini?

    Nilitaka kufahamu kwanin meno huwa na uchafu kama kutu ndan ya meno
  8. kobo

    Msaada kuhusu i phone4

    Ndo mwenye simu I think
  9. kobo

    Msaada kuhusu i phone4

    No hii ya huyo mzungu +27824448202 haeleweki kabisa
  10. kobo

    Msaada kuhusu i phone4

    Hapana haijapigwa tena INA ujumbe kuwa hii simu imepotezwa kwa mawasiliano zaid imewekwa no ya huyo mzung na ukipiga haongei kingereza
  11. kobo

    Msaada kuhusu i phone4

    Techman be like man bhana uo ni utoto
  12. kobo

    Msaada kuhusu i phone4

    Hi simu iliangushwa na wazungu so ikiwashwa inadai uingize i phone email na pasword zake je kuna njia yoyote ya kufanya au ndio pambo tu limebaki
  13. kobo

    key za antvirus ESET

    Asanten sana juma pili njema
  14. kobo

    Game ya computer iliyonivutia

    naweza pata setup yake
  15. kobo

    key za antvirus ESET

    habari za majukumu wanajamvi naomba msaada wa universal key za antvirus ESET kazi njema
Back
Top Bottom