Aisee hivi machali nae Msomi? Yule jamaa si ni mwalimu wa upe? Bad enough anadhan ana degree wakat kasoma chuo cha kata BA(ED).. jamaa ni mjinga yulee, mweupe kichwan kama karatas za mgololo
Kiongizi huna hoja hapo, unachofanya ni kupotezea watu muda na kutafuta uhalali wa kutukana matuc na kuchafua watu kama ilivyo kawaida ya wana ukawa..sugu elimu hana, upeo wa kufikir hana..wwew pia unaonekana ni wale wale kina sugu na machali..genge la wahuni
We dada tuletee ushahid wa uraia wa huyu jamaa wa congo.
Otherwise usituletee habar za mipasho hapa. Achen wivu wa kike, fanya research njoo na habar kamil usituletee habar za kimbea..jamii forum sio ukumbi wa taarab
Kaka hiki ni kikundi cha watu fulan wachache wajinga wanaodhani wameelimika kumbe badoj ni wajinga, wanachajua ni kuchafua taswira za watu..bahat mbaya wameshajulikana..tushindane kwa hoja na si matusi yasiyo na maana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.