Weng tunashindwa kutofautisha kati M23 na islamic states hao ni balaa hata kule Syria walifanikiwa kuiotoa baada ya dunia mzima kuwashambulia NATO, iran Russia na Israel hao SADC wala hawawezi
Wengi wenu hamjui tunayayacomment kwan musiwazarau jeshi la msumbiji kushindwa kuwa zuia kwan mbona Kuna majeshi Bora Kama yanashindwa kuwazuia Sinai huko au jeshi la Nigeria mbona wameshindwa Tz tunaona Kama jeshi letu ni imara hao wakivamia kambi ya jeshi wenyew wanakimbia jeshi hao sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.