Recent content by Knuckletouchez

  1. K

    Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

    Kuna idadi kubwa ya waalimu graduates kutoka vyuo mbalimbali alafu Ajira za ualimu zimekuwa finyu. Kukabiliana na janga hili la waalimu jobless yafuatayo yafanyike: 1. Serikali iache mara moja kuweka kipaumbele cha mikopo ya elimu ya juu kwa watu wanaosomea ualimu badala yake ikopeshe vijana...
  2. K

    Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Mnawakula kilaini ndo maana disrespect Enzi zetu ukianza kumla mpaka masaa mawili, kila style dakika 30, Mpaka ukimwambia unataka kumnyandua anaogopa Siku hizi DKK 10 mshamaliza, sasa anaogopa nn Zamani ndonga ilikuwa joka LA kutisha
  3. K

    Wazalendo ni wachache, wazalendo hawadumu

    Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi: "Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!" "Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu" "Kila unaponunua kitu...
  4. K

    Hatua za dharura za kuchukua kupambana na janga la ajira nchini

    Pamoja na kwamba Mimi ni mshabiki wa Magu, lakini hilo haliniondolei kuona madhaifu yake. Jamaa aliacha kuajiri wahitimu ambao serikali zilizopita ziliwaandaa, na kuwapa kipaumbele katika kupata mikopo ya elimu ya juu ili kuweza kukidhi mahitaji ya waalimu na watumishi wa afya Lakini miaka...
Back
Top Bottom