Recent content by knowcko

  1. K

    Naomba msaada kuhusi shirika la bnafsi linalofadhili mayatima kuwasomesha elimu ya chuo kikuu

    Nna ndugu angu alkosa mkopo kutoka hslb so naomba anaejua shirika tajwa aweze nifamisha ili tuweze okoa jahazi kwa mwanafunzi anaesoma kwa shida sana hapate kusaidiwa. Nashukuru sana kwa kunisikiliza
  2. K

    Tatizo la betrii ya laptop kutokuingiza chaji linaweza kua nn?

    poa nashukuru nshaichek bt nmefanya bado inazngua
  3. K

    Tatizo la betrii ya laptop kutokuingiza chaji linaweza kua nn?

    ahsante unaweza kun2mia hyo videoau hata sehem ya kuipata mana cjkupata japo nlkua naelekea kukupata
  4. K

    Tatizo la betrii ya laptop kutokuingiza chaji linaweza kua nn?

    nmeletewa pc mpya kutoka uk haiingiz chaj kwa betrii ake ilokuja nayo na nkiweka betrii nyngine inaingiza chaj pc n aina ya 'acer aspire', nmejarbu pia kubadlsha chaja cjafanikiwa na nmeinstall mpaka bios kutoka acer imegoma. naomba msaada kwa anaejua au mwenye wazo lolote. ahsanten.
  5. K

    kutoka sayans ya afya degree ya kwanza kwenda sayans ya kilimo dgree ya pil(masters)

    Inawezekana kuchukua degree ya pil yan mastaz ukiwa una degree ya kwanza ya afya labda md, nursng au maabala, kama hpo inaitwaje na duration ake n kpnd gan?:A S-key::help:
  6. K

    Ni lini lecturers watapunguza mamlaka ya kuamua mwanafunzi gani afaulu na yupi afeli

    M mwenyewe nakarbia kuwa lect kwangu m ctoweza kumuonea m2 but yule ambaye hana heshima lazima ataacount, na hata kama we mwenyewe utapata nafas unaweza jua so usilaum saana na kuhukum saana. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. K

    Kampuni ya Tanzania yafanya maajabu Marekani

    Kwanza hlo jambo c paala pake hapa, 2:hv hyo kampun ingukaja tanzania ingewanufaisha wangap hapa tz hambapo hela ya kusajilia hyo kampun unatengezeza kampun kubwa hapa tz na hyo capita ya kuifanya iingie kwenye kinyanganyilo ilkua yatosha kuifanya kama ilivokua Azam tz au hata viwanda vya sukar...
  8. K

    Msaada:How to know original and serial no of iphone4s

    Ahsante ndugu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. K

    Msaada:How to know original and serial no of iphone4s

    Naomba mwenye uelewa ya iphone4s namna ya kuijua au kuitofautisha kat ya fek na original. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. K

    Walioomba bugando for 2013/14

    ushapotea dogo 2lia kwanza af ndo uchukue ha2a hayo majina ya mastaz.
Back
Top Bottom