Recent content by knock knock

  1. knock knock

    JamiiForums Tanzania Clouds TV yafuta kipindi cha kumuhoji Maalim Seif kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao

    Ni dhahiri watawala wako insecure maalim seif akiendelea na harakati zake za kisiasa Ivi unamuogopa mtu kiasi hiki, mtu ambaye hana jeshi wala chochote, inasikitisha sana..
  2. knock knock

    JamiiForums Tanzania Zitto amkabidhi Maalim Seif kadi namba 1, Babu Duni namba 10

    Ni vyema ukajifunza siasa za zanzibar, Wazanzibari ni watu wasioyumbishwa neno analolitoa maalim seif ni hilo hilo ata kwa mtoto mchanga anayezaliwa leo, wazanzibari sasa wote wameungana kutaka mabadiliko utakuja kunambia, Iyo ACT ni ticket tu ya kumuakilisha maalim kwenye uchaguzi mkuu ujao...
  3. knock knock

    JamiiForums Tanzania Zitto amkabidhi Maalim Seif kadi namba 1, Babu Duni namba 10

    Mkuu Maalim seif aliliona hilo kabla ya wewe kuandika hapa lakini shida ingekuja icho chama msajili asingekisajili ata kwa bahati mbaya. na uko Act sidhani kama kutakuwa na salama mkakati ni maalim seif asigombee tena urais zanzibar ni mwimba mkali kwa chama tawala kote Tanzania
  4. knock knock

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama risasi 16 za 'watu wasiojulikana' waliotumwa kuniua hazikuninyamazisha, kuninyang'anya mshahara hakutaweza kuninyamazisha

    Naomba Akaunti ya Bank ya Mhe. Tundu Lissu tafadhali kwa anayeifahamu ili na mimi nitoe nilichonacho
  5. knock knock

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mkutano na waandishi wa Habari CUF-Chama cha Wananchi upande wa Maalim Seif 09.03.2019

    MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI (PRESS CONFERENCE) THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi) MAELEZO YA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MUENDELEZO WA HUJUMA ZINAZOFANYWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI JAJI FRANCIS KATABAZI...
  6. knock knock

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Oil chafu na makapi makapi watakula wenyewe sasa,
  7. knock knock

    JamiiForums Tanzania Matawi ya CUF yavamiwa usiku wa manane

    tena imara zaidi, wana mtazamo wa mbali sana
  8. knock knock

    JamiiForums Tanzania Matawi ya CUF yavamiwa usiku wa manane

    ndio wanajimaliza wenyewe 2020 kama kule bara na Tundu lissu
  9. knock knock

    JamiiForums Tanzania Mashairi maalum kwaajili ya Maamuzi ya Kesi ya CUF ya Maalim Seif na Prof. Lipumba hapo jana 18.2.2019

    shabbash.!! Copy to: Porfesa a.k.a bwana yule
  10. knock knock

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango: Hali ya Uchumi ipo imara, deni la Taifa laongezeka na kufika trilioni 49.37

    Mimi sio mtanzania mtajuana wenyew uko, kukopa arusi kulipa matanga
  11. knock knock

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume - "Niko tayari kuwafundisha CCM Katiba"

    Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Fatma Karume amesema yuko tayari kuitwa na chama chochote cha siasa nchini kwa ajili ya kutoa elimu ya masuala ya Katiba na sheria za nchi na kusisitiza kuwa msimamo wake hautabadilika. Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Fatma Karume...
  12. knock knock

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Upinzani tumeamua kuungana mapema

    Halima Mdee akihojiwa na DW asema tumeamua upinzani kuungana mapema na sio very late kama ilivyokuwa tukiungana hapo awali ili kupambana na nguvu za nje. See Video
  13. knock knock

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Simba akishaonja nyama ya Binadamu hawezi kuiacha

  14. knock knock

    JamiiForums Tanzania Korosho kupimwa DNA kujua za Tanzania na zilizoletwa kutoka nje?

    Wacha waisome nomber waliandamana kupongeza juhudi., "A snake is a snake"
Back
Top Bottom