Kwa nini kila mwaka kunakuwa na tatizo la madarasa kwa kidato cha kwanza. Kuna mambo mengi hayawekwi wazi katika hili:
👉 Mosi, suala la wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza sio jambo la dharura, watoto hao wamekuwa shule ya msingi kwa kipindi cha miaka isiyopungua saba, kwa nini inapofika...
Hivi hizo pesa za HESLB zinatolewa kama mkopo ama fadhila. Kama ni mkopo kwa nini unatolewa kwa masharti yenye viashiria vya ubaguzi. Tusishangae pale watakapoongeza kigezo cha ukanda ama mkoa anaotoka mwombaji na mengineyo yenye viashiria vya namna hiyo
MWENYEZI IBARIKI TANZANIA NA IEPUSHE NA...
Naamini balozi ni mtumishi wa umma na kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma 2009; utumishi wa umma unakoma kwa lazima pale mtumishi anapofikisha miaka 60 na hukoma kwa hiari pale mtumishi anapofikisha miaka 55.
Jambo la kujiuliza ni kuwa Dr. Slaa ana takribani miaka 70, huo ubalozi aliopewa...
Huyo mama hawezi kusaidia mkoa wa Kilimanjaro na wakazi wake kwa jambo lolote. Kuweka sawa katika hilo; anagalia historia ya maisha yake na hali ya kiuchumi ya nyumbani kwao alikozaliwa. Nachelea kusema hata yeye mwenyewe hajitambui na kwa msingi huo ni vigumu kwake kuchangamana na watu...
Ni bora WATAWALA wakatamka bayana kuwa SERIKALI HAINA UWEZO WA KUONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WALA KUPANDISHA MADARAJA badala ya hizo EPISODE wanazoibuka nazo kila siku.
Kuanguka kiuchumi kwa nchi ya Zimbabwe kulianza hivi hivi kama tunavoona sasa ndani ya nchi ya Tanzania. Watawala wanajisifu kuwa wanawanyoosha lakini siku sio nyingi taifa litajikuta kwenye hali mbaya kiuchumi na watakaoteseka kwa hiyo hali ni wanyonge wanaotumiwa na watawala kama ngao ya...
Huo ushahidi kama upo namshauri Mheshimiwa Nassari auanike kwa 'MAHAKAMA YA WANANCHI' ili wananchi wautafakari na kuutolea 'HUKUMU STAHIKI'. Huko kwingine naona kama wanakotaka kuupeleka ni wazi kuwa wataishia kupoteza muda na zaidi wataambulia maneno ya kebehi, shutuma, dhihaka na mipasho tu...
Ni muhimu CHADEMA wakawa makini na watu wanaowashirikisha kwenye mipango inayohusu matibabu ya Mheshimiwa Tundu Lisu. Naona dalili ya mamluki kupenyezwa kiaina ili kufanikisha malengo ya wabaya wa Mhe. Lisu.
Watawala wanapoamua kukwepa NURU na kuegemea GIZA ili udhalimu na uovu wanaotenda usionekane machoni pa MATAIFA. Na hao wanaoshabikia hiyo dhambi ya kupenda giza na kukwepa nuru watakumbana na mkono wa Mwenyezi Mungu kwani tunaambiwa kwenye Biblia kuwa;
'Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na...
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana na inasambaa haraka kama moto wa gesi. Akimaliza kubagua walio nje ni lazima atarudi kwa wale waliomzunguka na hatimaye ataelekeza mashambulizi kwa wale wanaofikiri wanaishi nyumba moja naye.
WATAWALA WANAIMBA WIMBO WA UMOJA WA AFRIKA WAKATI KWENYE NCHI ZAO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.