Recent content by klugger

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili Sekretarieti ya Ajira, Oktoba 2015

    Hah hah hah kweli maana nimewaza kweli huko utumishi hakuna watu wenye mawazo kushaur hili!maana interview nij gharama kwakwel mfano mwez uliopita walifanyisha interview Kada ya maendeleo ya jamii hawajaita watu kazini tena wameita wengine iyo iyo kada kweli apo si kupotezea watu muda na hela
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili Sekretarieti ya Ajira, Oktoba 2015

    Jaman mbona Yale tuliofanya mwez uliopita hadi Leo hawajaita watu kazini alaf wanaita interview nyingine na waombaji ni wale wale
  3. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kiuchumi za mgao wa umeme ni kubwa kuliko hasara

    Duuh hii Kali eti tope ndo limefikiri watu Mna maneno
  4. K

    JamiiForums Tanzania Usitupe mtoto chooni, usinyonge kichanga, usitoe mimba

    Duuh am speechless .....
Back
Top Bottom