Recent content by Kletza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Dawa ni kila kigango cha jimbo hili kitoe waumini ijumaa hii maandamano mpk Kawe kwa huyu Gwajima afute kauli take ama la wawasaidie watu Wa kawe kuondosha hilo kanisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    Ratco bado kufikia standards na kibaya they use Chinese buses...but wanajitahidi compared to Dar exp na Kilimanjaro
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    Today's I have not gotten ua point clearly.. What au trying to clarify here? based on the nature of ua name it seems you started boarding buses on ua own on this age of this Chinese buses..but ask ua dady he will tell u why even up to now pole are saying we do not have standard luxury bus...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    Nishapanda Ratco na nimeishi Kenya pia..Scandinavia is a dead company but hakuna Company imesha fikia standard ile..infact ndio imeleta revolution ya transportation in East Africa..kuna kampuni Kenya Kama Eldoret express walijitahidi Ku copy but..nao wameshindwa...do u know watu walikuwa wadamka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

    Scandinavia ilileta mapinduzi ya usafirishaji East Africa.. Hakuna kampuni ishafikia standard ile..achilia hili LA kichina wasifia hapa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    Scandinavia it was a luxurious thing from unapo nunua tiketi..aina ya tickets. Passengers lounge..kila kitu ulikuwa classic.... Bus zako zilikuwa ni luxury za sina 3 Marcopolo Andare ulikuwa ya chini na Parradisso was the most luxurious with Frige.coffee maker..toilet..full AC na kwa like la...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    This was a really luxury bus
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya 'Luxury'

    Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury
Back
Top Bottom