Recent content by KLE

  1. K

    Natafuta projector

    Habari wadau, natafuta projector nzuri yenye uwezo wa kuonyesha mchana (Heavy duty) ambayo itatumika kwenye kuonyeshea video records, naomba mnisaidie wapi naweza pata (machimbo) 0764714801 Asante.
  2. K

    Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Tuonane/wasiliane...
  3. K

    Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Mimi sipati faida yeyote, unanirudishia tu pesa yangu boss,
  4. K

    Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Ile barabara inakuja kuwa kama ilvyo Goba, so kama muwekezaji una pesa fanya maamuzi.... pesa haipoteagi kwenye ardhi hasa maeneo kama haya
  5. K

    Tank la maji kama, simtank,polytank,linahitajika la bei poa kuanzia lita 6000.

    Tank la maji linahitajika kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
  6. K

    Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa...
  7. K

    Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Wadau habari, naomba kuuliza hivi viwanja vinavyouzwa tausi ukishalipia Instalment ya kwanza ikatokea ya pili umefeli kulipa kwa wakati, je ile pesa ya kwanza ndiyo umepoteza na kiwanja unanyang'anywa au hii imekaaje wadau, Asante
  8. K

    TAUSI viwanja

    Wadau habari, naomba kuuliza hivi viwanja vinavyouzwa tausi ukishalipia Instalment ya kwanza ikatokea ya pili umefeli kulipa kwa wakati, je ile pesa ya kwanza ndiyo umepoteza na kiwanja unanyang'anywa au hii imekaaje wadau, Asante
  9. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
  10. K

    Data Analysis & Reports

    Kindly allow me to add value in your activities by financial data analytics and reports by the use of advanced excel tools and other applications. This can be done remotely from my office at reasonable charges, this can be Tax reports like EFD reports, Incomes, Stocks, Expenses, Data import...
  11. K

    INAUZWA Oven la kisasa lenye jiko la gesi na mtungi wa gesi ya Orxy vinauzwa

    Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
  12. K

    Nahitaji gari ya kukodi (Box Body Trucks)

    DAR BOSS...
Back
Top Bottom