ulimwengu waleo kibiashara ni soko huria nandio linaleta mafanikio na maendeleo kwaharaka. kwa sasa Rais ashaonyesha mwanga. ATCL imepata kwa kuaanzia sikuzote biashara nzuri hufuatwa na watu. sasa kinachotakiwa hapa kulinagana na uchache wa ndege zetu kwajinsi soko lilivyo na ndio tunaanza...
bro usijaribu kuliza mwanamke yamenikuta nimejipalia kaa la moto rudi badilika maana ulimpenda so why uliwezadumu 4yrs tel him know utakuwatayari lini kama akionanimuda mrefu let her free but kupata mwanamke wa kuonyesha heshima hivyo ningum sana bahati huja maramoja tu next nikujuta.
mimi nadhani tusibeze letu kwakua kweli ATCL ilipo kuwa ni ICU ila kama wataweka nidhamu na utendaji mzuri mapematu tutawezakuwa nahizo A332 We can frds tukumbuke maendeleo yanataka usimamizi mzuri na nidhamu yahaliyajuu wezetu wameanza mbali wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.