Recent content by kjoo255

  1. kjoo255

    Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    hapa kwenye paypal natamani kufahamu nawezaje kuconfirm account yangu bila credit card maana kuna hela zinatumwa huko zinagomaaaa
  2. kjoo255

    Tatizo la ku access instagram na twitter

    Sasa mimi mpaka instagram....ina muda na muda kufanya kazi na tatizo la VPN inafanya mtandao unakuwa chiniiiii!
  3. kjoo255

    Tatizo la ku access instagram na twitter

    Habari ndugu zangu, Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN. Naombeni msaada wa kutatua changamoto hii kama naweza kutumia mitandao hiyo bila VPN coz mitandao...
Back
Top Bottom