Amina Ayubu huyu tulisoma nae Morembe sec. Nimempoteza muda mrefu sana mnyamwezi kabila lake,
Na rafika yangu mmoja alikuwa anaitwa Lucas classmate wangu hao sijawahi waona tangu tulivyo achana.
Baada ya hii vita nchi nyingi zitajikita kutengeneza siraha tofauti tofauti zenye uwezo zenye Teknolojia ya juu,
Israel kaipa hio protector jina kubwa tofauti na jinsi ilivyo fanya kazi, muda huu ndio wa kajaribu siraha kila mmoja alizotengeneza.
Mkuu kwanza pole sana mke anauma sana aisee sisi tulio oa ndio tunajua,
We kaa na mkeo ndugu usiache kila siku kumfundisha na kumuonya taratibu taratibu na kum care usiache kumkumbusha mmetoka wapi na mnakokwenda ni wapi,
Halafu wewe cha msingi muite huyo jamaa upate na mtu mwingine umshauri...
Kama tungeliweza kujua Nato na Russia wanachotaka kufanya nyuma ya dunia hii tunayoiona sisi kwa macho ya kawaida hakuna mtu angejisumbua,
Kilichoko nyuma ambacho hakijafunulia ni kikubwa sana tofauti na tunachokijua tungepata kukijua ingetusaidiwa kupata muongozo kujua Lengo la hii vita tofauti...
We ndio hapo hukumuelewa jamaa na ume comment kishabiki maana jamaa yeye ameongelea Tanks wewe unaruka na jambo lingine
Hizo T80, T90 na nyinginezo Russia alikadiriwa kuwa na Tanks kama 2560.
Ye atakuwa kakaa mafichoni wakati kijana wa mama watu anapoteza uhai vitani maana yeye ni msemaje tu wapiganaji ni wengine kabisa sababu wanafata order,
Mjinga kama wewe wa kijiweni unashabikia vita pole sana,
Na wengi mnaotetea mna tabia kama zake ndio maana mnaona yuko Sawa lakini ana makosa na si wendawazimu huenda walisha wahi wasiliana nae wakamshauri ila hakujali, tunasema tu hapa jukwaani kirahisi rahisi ila yakikupata matatizo watajitenga nawe, hapo sasa kama umetoka na majirani zako na jamaa...
Baadhi wengi humu mnatetea ujinga aisee huyo mzee ana makosa kaa ndugu zako vyema tangu 2017 hajaenda kwao hii ina maana misiba ikitokea haendi hata rambi rambi hatoi mtu wa namna gani huyo.
Wao hata hawamkomoa wanachofanya ni kumuweka karibu yao atoe tu faini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.