Recent content by kizunguzungu_

  1. K

    Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Hata mimi nayatamani sana haya maisha, ila nawaza pindi nitakapokuwa na watoto, nitawapa maisha magumu kidogo kwenye mambo mbalimbali kama shule n.k. Haya maisha ni yakuishi wakat unapesa za kutosha au ukiwa na uwezo wa kuingiza pesa hata ukiwa mbali.
  2. K

    Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

    Mwambie tu, kama kukataliwa ukataliwe mapema. Maana hakutongoz leo wala kesho kwa jins navyoona
Back
Top Bottom