Ni mawiki sasa tangu tutengeneze na kulaunch Ile website yetu ya Grid PDF lakini kama ujuavyo mara zote furaha ya mfanyaji wa jambo lolote ni kujua watumiaji wake wanajiskiaje juu ya Hilo jambo tukabidi tutafute reviews juu ya watumiaji wa Grid PDF je wanatimiza mahitaji yao"
Hizi ndizo...
Kwanza wanauza data za watu without permission pili wanapokea files za watu kwenye server jambo ambalo ni hatari na kina hatarisha faragha ya mtumiaji na tatu ukiwa na serious bog tax hawakwambii at the beginning kama tutakutoza badala yake wanakupeleka maji marefu kufikia pahala wakikwambia...

Yeah lakini katika kiasi Cha kuweza kuhudumia gharama za uendeshaji na Wala si kiwango Cha kumkandamiza mtumiaji wa kawaida au wa mara moja wa mazingira ya Africa na tanzania kwa ujumla 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.