Recent content by Kizito16

  1. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Aliyefeli Form 4 anaweza kurudia Form 3 shule ya serikali?

    Habari Wana Jambo Naomba kujua kama kuna Uwezekano kwa Mwanafunzi aliyefeli Kidato cha nne kwa alama div 4 30 mwaka Jana, anaweza Kupata nafasi shule yoyote ya serikali arudie kwa kuanzia Form 3.
  2. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kumhamisha mwanafunzi wa Form 1

    Naombeni kujua ni utaratibu gani nifate ili nimuamishe mtoto wa kidato cha kwanza kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
  3. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Kumuhamisha mwanafunzi wa form one

    Wakuu naomba kujua taratibu za kumuhamisha mwanafunzi wa kidato cha kwanza kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Natanguliza shukrani.
  4. Kizito16

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto kutoa mate kila mara!

    Hii Njia Noma Sana
  5. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto kutokwa na mate yenye Mapovu kila akiamka

    Nashukuru kwa mawazo
  6. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto kutokwa na mate yenye Mapovu kila akiamka

    Habari Wana Jamvi Nna Kijana Wangu ana Miaka 3 ameanza tatizo la kila akilala na Akiamka anakuwa anatokwa na mate Yenye Mapovu Na Anahema Kwa Shida. Tumeenda Hospitali Kadhaa Akipewa Dawa Zinamtuliza then Hali Hiyo inamrudia. Anayeifahamu Hospital au Dawa Nzuri inayoweza Kumsaidia. Natanguliza...
  7. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi Dar es Salaam, ana elimu ya kidato cha nne

    Mkuu naomba mawasiliano yako
  8. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Wapi na Bei Gani mkuu
  9. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Shukrani Mkuu
  10. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Asante kwa mawazo
  11. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Nashukuru Kwa Mawazo
  12. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Nashukuru Kwa Mawazo Mkuu
  13. Kizito16

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

    Mkuu Kula Sana Mananasi Hyo Harufu itakata.
Back
Top Bottom