Ni kwel kuna wengin wanachzea nafas kabs...weng wao ni wale baba kanituma kwasabb tu mzaz anacheo bas anaamua kumtengnzea mtot mazingr mazur hali ya kwamb mtot hajapnd kutok moyon nafas wanazib baba kanitum af weny vgzo watot wa wakulima wanabak kitaa kwa kukosa..pia kuna wengn waliotorok...
Vp kuna yeyot mwenye lonja kuhusu ongezeko la watu watu wengin tena kupigiwa simu iuripirt kiwira maana watu wanazid kutoroka na bado hawajatimia jana wamepokonywa simu na vyeti ili kuzuia watu kutoroka
GOOD NEWS HAYA HAPA MAJINA YA WALIOFAULU USAILI NA KUPANGIWA KAZI UHAMIAJI 2022 MAJINA YA WALIOITWA KAZINI UHAMIAJI [emoji1314][emoji1314][emoji1314]Call For Work at Uhamiaji 2022 - Ajira Portal Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.