Pole sanakwa yaliyo kupata. Dalili ya mvua ni mawingu. Akufaae katika dhiki huyo ni rafiki wa kweli. Wahenga waliyasema hayo. Kaa mkao wa kula kaka utaliwa na kamwe hutakaa usahau maishani. Ushauri wa bure maamzi ni mtu binafsi. Sasa bwana kwa ushauri wangu achana na huyo wa kwanza hakufai hata...
Kufanya utafiti si vibaya, kila mmoja anayo haki ya kufanya kile anachofikiria kuwa ni cha manufaa kwake na huenda kwa wengine pia. Kwa mtizamo wangu naona kuwa, huyu au hawa watafiti walipenda kujua ni lugha ipi inayotumika zaidi kwa namna moja au nyingine ili kuona ni lugha ipi au zipi zimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.