Recent content by kiyungi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wahusishwa na mauaji ya Albino Urambo

    Jamani acheni wengine kuoongea vitu msivyovifahamu Bado mnachanganya Urambo na Kaliua, huyo binti aliyekatwa mkono ni wa Usinge Kaliua kwa Kapuya sema alikuja kutibiwa Urambo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania: a land of obstacles and untapped opportunities for businesses

    Tanzania, with a population of around 45 million, has sustained high economic growth over the past decade, according to the World Bank. Structural reforms, increasing exports, and financial deepening, has led to a GDP growth of between 5% and 7% in recent years. However, doing business in...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    umbea tu huuu hebu toa hapa, unaushahidi ama ni majungu tu ,weka ushahidi hapa,kuna watu mna wivu tu watu wakifanikiwa maishani mnatafuta maneno majungu,nenda kafanye kazi na wewe ufanikiwe:eek2:
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    ha ha ha ha ha this is waaay to funny eti tuachieni mifupa yetu ha ha ha yakhe kweli kutakua hakuna kitu :boxing::A S 20:
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    mkuu,sio lazima uambiwe ni kujaribu kupanuana mawazo tu ,nilichokiandika ni mimi nionavyo kama unaona si hivyo basi unatoa mtazamo wako hakuna vita humu mkuu. nawakilisha kwako kwa heshima na taadhima
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    kwa uteuzi huu wa wabunge wapya kuna dalili ya kuwekwa kwa waziri mkuu mpya,ukizingatia ili kuwaapisha wabunge lazima wawepo bungeni,na bunge lijalo ni mwezi june,kwa mantiki hiyo itabidi aite bunge la dharura,na kwa kuita bunge la dharuara hawezi kuliita ili wakaapishwe wabunge...
Back
Top Bottom