Recent content by kiximi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda Raha

    Wanaume wa TZ mnaona mambo hayo ya kinyarwanda?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Davido Na Ommy Dimpoz Ni Ndugu? Mbona Wana Fanana Sana.

    Huyu wetu anasubiri kununuliwa gari na nani? alikiba au?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Davido Na Ommy Dimpoz Ni Ndugu? Mbona Wana Fanana Sana.

    Kama umeshawahi kuwatazama wawili hawa kwa ukaribu utajua nini nasema, wamefanana mno kuanzia Dimpoz mpaka ufupi, Naomba kujua kwa wanaofahamu kama wawili hawa wana undugu wowote... Na je nani kati ya wawili hawa anajua kuutumia ufupi wake kwenye mavazi/fashion? Nawasilisha.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mauno haya Bado ZARI alipigwa kibuti.

    hili povu nimelikubali
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mauno haya Bado ZARI alipigwa kibuti.

    hahaha,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Video: Rapa RICK ROSS Ametua jijini Nairobi tayari

    Hata mimi sauti yake tu, mi hoi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Video: Rapa RICK ROSS Ametua jijini Nairobi tayari

    Rapa RICK ROSS Ametua jijini Nairobi tayari kwa show yake jijini humo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mauno haya Bado ZARI alipigwa kibuti.

    Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
Back
Top Bottom