Recent content by KIWULUNGE

  1. KIWULUNGE

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Tulioshuhudia uchaguzi wa 1995 tulijua nini kitatokea. Nguvu ya mrema ya wakati ule ilikuwa kubwa kuliko ya Lowasa, halafu alijitoa CCM mapema akazunguka nchi nzima kabla ya kampeni kuanza. Huwezi kushida uraisi kwa kutegemea mashabiki bila mfumo wa kichama, mfumo wa CDM ulisambaratika baada ya...
  2. KIWULUNGE

    Kwa namna hii Mabadiliko Tanzania ni ndoto

    Mabadiliko lazima yawe chanya, kama wewe umeajiri mfanyakazi atakapo staafu lazima uajiri mtu anayeweza kufanya kazi kama aliyeondoka au mwenye uwezo zaidi yake. Ukiajiri ZEZETA hayo ni mabadiliko ?? Wanaojifanya kuleta mabadiliko kwa kutumia fedha zao ni matapeli wa kuogopwa kama ukoma. Mungu...
  3. KIWULUNGE

    Njombe - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    JORAM HONGOLI wa CCM ameshinda jimbo la Lupembe mimi natokea huko
  4. KIWULUNGE

    Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Sasa ninaamini Mbowe ameuza CDM na Issue hapo ni vitalu vya mafuta na gesI. Na yale mabilioni yaliyokamatwa Dodoma toka kwa Manji yalikuwa ya kuhonga ili wajumbe wamkatae Magufuli. Basi hii imekula kwao
  5. KIWULUNGE

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Lowassa anakusanya watu kwa helicopta, watu wanakuja kumshangaa tu. Subiri matokeo
  6. KIWULUNGE

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Wanawake wa Tz ni wa ajabu sana. CCM wanataka Samia awe makamu wa rais, ACT wanataka Anna awe raisi. Kwenye hotuba zao walikuwa wanaelezea changamoto na kwamba hawataki nafasi za kupewa bali zenye maamuzi. Hivi ni kwa nini hawakuwaita Samia na Anna wawaeleze matatizo yao na kwamba hawa akina...
  7. KIWULUNGE

    Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    Timu EL ilitumia mwezi mzima kukusanya wadhamini laki nane chi nzima kule CCM, Tume ya uchaguzi imetumia siku 14 kuandikisha wapiga kura 2.7m mkoani Dsm. Haiwezekani kupata wadhamini 1.6m kwa siku mbili na form ziwe zimerudi makao makuu. Vinginevyo tungeshuhudia misururu ya watu kwenye maofisi...
  8. KIWULUNGE

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Mungu yupo upande wetu
Back
Top Bottom